Mashambulizi hayo yalitokea kwenye vijiji vilivyopo kaskazini mwa jimbo la Deir Al Zor mapema hii leo. Hayo yanafanywa wakati kundi la Hezbollah la Iraq likitoa wito
Month: December 2024
Songea. Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) limetoa huduma za upimaji wa Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa watu 89,602 waliopo gerezani huku 2,030 wakigundulika
KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inashirikiana na watu duniani kote kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu inayoadhimishwa kila tarehe 3 Desemba ya
Geita. Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kasota, Kata ya Bugulula Wilaya ya Geita (9) amejeruhiwa kwa kuchomwa moto kwa kutumia petroli
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza Serikali imetenga jumla ya shilingi Bilioni 9 kwa ajili ya kufanya
Mtoto anayesoma Darasa la Tatu katika shule ya Msingi Kasota (9) Mkazi wa kijiji cha kasota Kata ya Bugulula Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amesimulia mwanzo mwisho tukio la kutekwa kwake, huku akisema bado ana hofu kuhusu maisha
Watu 11 wameripotiwa kuuawa kufuatia mashambulizi hayo ya Israel nchini Lebanon. Jeshi la Israel limedai kuwa Hezbollah imekiuka makubaliano ya wiki iliyopita kwa kuvurumisha roketi
Mbeya. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa
Rais Joe Biden aliwasili katika katika jiji la Luanda, Jumatatu jioni kwa ziara ya siku mbili inayotarajiwa kujikita kwenye mradi wa kimataifa wa kukarabati miundombinu