Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, aliyekuwa akiomba kufikishwa mahakamani au
Month: December 2024
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza waombolezaji mbalimbali, wakiwemo viongozi wa
Mkufunzi wa nishati kutoka kampuni ya Taifa Gas ambayo ni mdau katika kampeni hii, Praygod Ole Naiko akitoa mafunzo ya matumizi ya nishati salama ya
Dar/mikoani. Inasubiriwa atekwe nani ili hatua zichukuliwe? Ndilo swali wanalojiuliza wengi kuhusu giza lililogubika mwenendo wa uchunguzi wa matukio ya utekaji na kutoweka kwa raia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) kushiriki
Arusha. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wahasibu wakuu wa Serikali barani Afrika, kujikita katika matumizi ya teknolojia na bunifu ili kuboresha mifumo ya usimamizi wa
Dar es Salaam. Kupunguza unyanyapaa, kutokubalika kwenye uongozi, kutengwa na jamii na kuuawa kwa imani potofu, ni miongoni mwa changamoto chache kati ya nyingi ambazo
Mahakama ya Kimataifa ya makosa ya Jinai ICC imefungua mkutano wao wa kila mwaka wakati ambapo mahakama hiyo ikikabiliwa na msukumo juu ya vibali vyake
Morogoro. Maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro yameanza kupata mvua, huku wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa halmashauri wakiweka mikakati ya kuepuka athari zinazoweza
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetoa elimu kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo kwa wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Kibasila