Unguja. Licha ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)kueleza kuwa, haijafanya tathmini kuhusu wananchi wanaotumia nishati mbadala, imesema matumizi ya gesi yameongezeka kisiwani humo ikiwa ni
Month: December 2024
Unguja. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imeongeza eneo la kilimo cha umwagiliaji kutoka hekta 875 mwaka 2019 hadi kufikia hekta 2,300 mwaka
Vyanzo vya jeshi la Syria vimeripoti kwamba wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran wemeingia nchini humo kutoka Iraq ili kwenda kusaidia kuimarisha vikosi vya jeshi la Syria.
Unguja. Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la mmomonyoko wa maadili. Amesema tatizo hilo pia lipo kwa baadhi ya viongozi wa kitaifa
Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wamefika katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam kuhudhuria misa maalumu ya kumuaga aliyekuwa mbunge wa Kigamboni
Dar es Salaam. Kila mwaka Novemba 25 hadi Desemba 10, dunia hujikita kwenye kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Ukatili huu unatajwa kuwaathiri
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema sekta ya fedha iko imara na inakua, licha ya changamoto za kiuchumi za kimataifa ikiwa ni
Tarehe kama ya jana, Disemba Mosi, mwaka 2006, Mrisho Khalfan Ngassa aliifungia Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) bao moja katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Djibouti,
Mnamo mwezi Oktoba, Biden aliahirisha mpango wa kuitembelea Angola wakati Kimbunga Milton kilipokaribia kulifikia jimbo la Florida. Alifanya hivyo ili kusimamia mipango ya kukabiliana na
Klabu ya soka ya Pamba Jiji ya Mwanza imetozwa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la maofisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku