Katika kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu, wadau mbalimbali wa elimu wamepongezwa kwa kuonesha juhudi juu ya kuhakikisha wafanikiwa kwa kuongeza miradi yenye kukuza
Month: December 2024
Dar es Salaam. Benki za Equity Tanzania Limited (EBT) na Equity Kenya Limited (EBK) zimeshinda kesi nyingine ya mgogoro wa mkopo wa Dola 47.22 milioni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa mkono wa pole kwa familia ya mwanamuziki mkongwe wa dansi, Marehemu Boniface Kikumbi
Simiyu. Â Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza kutoa Sh2.9 bilioni kwa ajili ya kukarabati na kujenga upya Chuo cha Maofisa Tabibu Maswa, kilichopo mkoani Simiyu.
Mafunzo ya elimu ya amali yatakayowezesha kuboresha kiwango cha elimu ya vitendo nchini yameanza kwa wadhibiti Ubora wa elimu zaidi ya 300 Jijini Arusha, huku
KAMA kuna kitu ambacho mashabiki wa Tabora United wanajivunia ni uwepo wa washambuliaji wawili waliowahi kutamba na timu ya Yanga, Mkongomani Heritier Makambo na Mburkina
*📌Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika* Wakala wa Nishati Vijiji (REA) kupitia kampuni ya Manjis Logistics Ltd, imeanza rasmi Mradi wa kusambaza majiko
Rais anayeondoka madarakani nchini Marekani,Joe Biden anaanza ziara yake nchini Angola kuanzia Jumatatu, akitimiza ahadi muhimu aliyoitowa 2022 ya kuimarisha mahusiano na bara la Afrika
Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Said amewataka wanaume kwenye maeneo mbalimbali kuwapa ushirikiano wake zao haswa