KOCHA wa Alliance Girls, Ezekiel Chobanka inaelezwa yuko mbinoni kujiunga na Ceasiaa Queens ya Iringa kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kocha huyo ameifundisha Alliance kwa
Month: December 2024
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud amezitembelea na kuzifariji familia 28 zilizoathiriwa na upepo Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba. Upepo huo ulioambatana na
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga Princess, Mary Mbewe amejiunga na ZESCO Ndola Girls inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Zambia. Mbewe ambaye aliachana na Yanga msimu
Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema inaendelea kuweka kipaumbele katika sekta ya elimu kujenga madarasa mengi kuondoa mikondo miwili shuleni. Makamu wa Pili wa
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali (IAG) CPA Benjamin Mashauri Magai akisoma hotuba ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha
SHIRIKISHO la Soka duniani (Fifa) limeiamuru Richard Bays FC aliyokuwa akiichezea Abdi Banda kumlipa nyota huyo wa kimataifa wa Tanzania pesa zake za mshahara na
Baadhi ya wanufaika katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi akiongea katika hafla hiyo Makamu Mkuu wa
Dar es Salaam. Tarehe 1 Desemba 2024: Baada ya kutoa huduma zenye ubora wa kimataifa kwa mwaka mzima, Benki ya CRDB imeingia mwezi Desemba kwa
MCHEZO wa raundi ya 11 wa Ligi ya Championship kati ya Mbeya City na Biashara United uliopangwa kuchezwa leo saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Mweli akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Chama cha Wakulima Tanganyika (TFA) .uliofanyika Jijini Arusha.Wanahisa wakifuatilia Mkutano Mkuu