Dar es Salaam. Jaji mstaafu, Joseph Warioba amemzungumzia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mstaafu Jaji Frederick Werema akisema ni miongoni mwa watu wachache aliowahi kufanya nao
Month: December 2024
UNAWEZA kuona kama mapema hivi lakini sio kwa Singida Black Stars baada ya kumshusha kocha Hamid Miloud na kumwambia anatakiwa kuhakikisha timu inashiriki michuano ya
Dodoma. Baada ya kuripotiwa matukio ya watoto wawili kupoteza maisha kwenye mabwawa ya kuogelea (swimming pool) katika Sikukuu ya Krismasi, angalizo limetolewa kuhusu matumizi ya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa India nchini kufuatia
Ahmed Arajiga na Frank Komba ni miongoni mwa marefa 63 walioteuliwa katika orodha ya awali ya waamuzi watakaofanyiwa mchujo wa kuchezesha fainali za mataifa ya
Na Beatus Maganja, Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amesema zoezi la kuwalipa fidia wananchi wa Kijiji cha Ngombo kilichopo ndani ya
Dodoma. Maisha ya miaka 69 ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Frederick Werema yamehitimishwa, akiacha alama nne za kukumbukwa. Jaji Werema aliyefariki dunia Desemba
Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mheshimiwa Farida Mgomi amewaasa wananchi kuwa na utamaduni wa kuwashika mkono na kutoa misaada kwa makundi yenye
TIMU ya kikapu ya Polisi na Stein Warriors zinaendelea kukabana koo katika nafasi mbili za juu za Ligi ya Kikapu ya Daraja la Kwanza inayoendelea
Mpwapwa. Katika Kata ya Ng’hambi, Wilaya ya Mpwapwa, kama maeneo mengine athari za mabadiliko ya tabianchi zilidhihiri na shughuli za watu kuathiriwa. Kata hii iliyokuwa