SIKU moja baada ya kutangaza kikosi cha wachezaji 28 kinachoingia kambini kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Ahmed Ally amesema ni
Year: 2024
Na. Lusungu Helela – Mpwapwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe,
Mnamo Septemba, Scholz alikwepa swali la mwandishi wa habari kuhusu urithi wake kisiasa. “Nadhani mtu anapaswa kuwa makini na wanasiasa wanaofikiria kuhusu hilo kabla ya muhula
WACHEZAJI TIMU YA TAIFA ZA ZANZIBAR WATAKIWA KUCHEZA KIZALENDO NA KUFUATA MAELEKEZO YA VIONGOIZI WAO
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewataka wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar Herous, kucheza kizalendo na kufuata maelekezo
Je unajua kuwa unaweza kuibuka na zaidi ya Mamilioni ya pesa ukibashiri na Meridianbet Jumatatu ya mwisho ya mwaka 2024?. EPL na SERIE A
Ikulu ya Marekani imesema Rais Joe Biden katika taarifa yake amesema, Marekani na dunia nzima imempoteza kiongozi shupavu, mwanasiasa na mfadhili wa misaada ya kibinadamu.
Dar es Salaam. Maabara ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imetunukiwa cheti cha ithibati cha ubora wa kimataifa cha utoaji huduma
Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na
Azerbaijan. Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev ameitaka Russia kukubali kuwa ilihusika moja kwa moja katika kuidungua ndege ya Shirika la Ndege la Taifa hilo iliyosababisha
Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Frederick Werema (69), amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa