JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu, na kwa kuzingatia kutakuwa
Year: 2024
Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za dawa
NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameshiriki dua
Moshi. Taasisi ya ndoa imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosababisha ndoa nyingi kuvunjika mapema. Hata hivyo, Mzee Joseph Mechili
KIPINDI hiki ambacho tunaelekea kuufunga mwaka kwa mdau wa michezo ya kasino anaweza kuufunga mwaka kibabe endapo utashiriki shindano la Expanse, Ambapo unaweza kuibuka mshindi
“Kuna lugha ya kawaida kati yangu na majengo. Katika kila nyumba ninajaribu kuhifadhi. Ninahisi kuwa jiji linanishukuru, na ninashukuru jiji kwa sababu limenifundisha mengi”, anasema
Dodoma. Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Grayson Kanyenye (6) wamefikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Mpaka sasa bado
Unguja. Baraza la Mitihani Zanzibar, limetangaza matokeo ya darasa la saba yanayoonyesha ufaulu kupanda kwa asilimia 1.66 kutoka asilimia 95 ya mwaka jana hadi kufikia
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (Katikati), akikabidhiwa tuzo ya shukrani na Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania
Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za