Mbeya. Wanawake wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wanajishughulisha na kilimo cha mpunga wanakabiliwa na changamoto kubwa ya mfumo dume unaozua migogoro inayowasababishia vipigo na
Year: 2024
Achana na Kariakoo Dabi itakayopigwa kuanzia saa 11:00 jioni kwa vigogo Simba na Yanga kuvaana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja kabla huko Lubumbashi,
Achana na burudani wanayopata mashabiki wa soka nchini inapokuja Dabi ya Kariakoo, lakini ukweli, pambano hilo la watani wa jadi nchini, limekuwa na neema kubwa
MASHABIKI wa Yanga na Simba tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa
KESHO Jumapili Singida Fountain Gate na Mashujaa FC zitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu za matumaini ya kubaki Ligi Kuu Bara na kumaliza nafasi
Dar es Salaam. Watanzania wametakiwa kuzingatia ubora wanaponunua bidhaa, ili kuepuka hasara kwa kununua bidhaa zisizodumu na zinazotumia nishati nyingi. Hayo yameelezwa jana Aprili 19,
Dar es Salaam. Kufuatia taarifa ya kicho cha mtangazaji maarufu wa Kampuni ya Clouds Media, Gardner G Habash, watu mbalimbali wakiwemo wasanii na watu wanaomfahamu
Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi wametakiwa kurudi majimboni mwao ili kuwahamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa na kukijenga chama.
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza safari ya majaribio ya treni ya reli ya kisasa (SGR) itakayofanya safari kutoka Dar es Salaam
Dar es Salaam. Aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob amesema kuchukua hatua kali za kinidhamu kwa watakaobainika kushiriki katika ubadhirifu wa fedha za umma katika