AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi
Year: 2024
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemshukia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akimtaka kutodharauliana.
WAKATI homa ya pambano la Ligi Kuu Bara kati ya vinara wa ligi, Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda kutakuwa na vita nyingine mpya kwenye
Arusha. Dharau, lugha za matusi na vipigo vya mara kwa mara wakati mwingine bila kosa, ni baadhi ya madhila wanayokumbana nayo watoto wanaoishi na kufanya
Beki mkongwe wa Simba, Shomari Kapombe amesema watatumia mchezo wa kesho kurudisha matumaini ya kutwaa taji msimu huu huku akikiri wananafasi kubwa ya kufanya hivyo.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Happiness Laizer pembezoni mwa Mkutano
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kutoa elimu katika klabu za maji na usafi wa Mazingira kwa katika shule
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imezindua huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya miamala ya kifedha na ina
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Orxy Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wamekabidhi mitungi ya gesi ya kupikia ya Orxy 50 kwa
Na Mwandishi Wetu ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa kampeni ya Chanjo ya Saratani ya Shingo ya Kizazi, Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto