Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA kwa kushirikiana na Bonde la Wami Ruvu wameunda na kuanzisha vikundi rafiki
Year: 2024
Dodoma. Waziri George Simbachawene ametumia nukuu za viongozi wa zamani, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Edward Lowassa kuhimiza haki za raia, kujali usawa wa binadamu
Babati. Gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 VXR maarufu kama Shangingi lililotumika kuwabeba Waethiopia 17 walioingia nchini bila vibali na kutelekezwa Babati mkoani Manyara,
Dodoma. Mbunge wa Same Magharibi, Dk David Mathayo amehoji Serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa Watanzania kuonyesha umuhimu wa watoto kulelewa na wazazi
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola amesema hakuna mechi rahisi ya dabi wanawaheshimu wapinzani wao kutokana na kuwa bora lakini wao pia wamejiandaa kukabiliana nao.
Dodoma. Bunge limeelezwa kuwa watumishi 430 wataajiriwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mwaka 2024/25. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema hayo leo
JUMAMOSI ya wiki hii, kuna Kariakoo Dabi inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ni wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara
Dodoma. Serikali imesema tathmini iliyofanyika nchini inaonyesha gharama kubwa ya fidia ya mali zilizomo ndani ya eneo la hifadhi ya barabara lililoongezwa la mita 7.5
SIMBA inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo alasiri, ikitokea Zanzibar ambako iliweka kambi ya siku tatu, kujiandaa na Kariakoo Dabi dhidi ya mtani wake
UKISIKIA mwisho wa ubishi ndio huu wakati vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga zitavaana katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara. Ndio, kesho