TANZANIA, Afrika Kusini na labda Afrika nzima mitandao imejaa mjadala wa uamuzi wa kutia shaka wa refa wa mchezo wa robo fainali ya Ligi ya
Year: 2024
Balozi wa Pakistani nchini Siraj Ahmad Khan (kushoto), Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya
Serikali za Tanzania na Zambia zimefanikiwa kufuta kero nne kati ya kero 15 zilizokuwepo awali ili kurahisisha michakato ya biashara ya nchi hizo kutegemeana kibiashara.
KATIKA Makao Makuu ya Klabu ya Yanga SC, unaweza kusema hakuna kulala kwani mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wameendelea kufanya amsha-amsha kama hamasa ya
Iran. Vyombo vya habari vya Serikali nchini Iran vimesema kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa nchi hiyo uliangusha ndege tatu zisizo na rubani (droni)
JUMAMOSI ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel Gamondi na
PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka
Mwisho wa tambo kwa mashabiki wa Yanga na Simba ambao kila mmoja anavutia ushindi upande wake ni Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo hii
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari
LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. West