NA EMMANUEL MBATILO, MOROGORO WANAWAKE viongozi na vijana wanasiasa wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa tija kwa lengo la kupeana taarifa na kuondokana na
Year: 2024
Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kutekeleza wajibu wao wa kutoa mrejesho kwa jamii juu ya michango, kazi
WAKATI Raska Zone ikianza mazoezi kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, mastaa wametamba kurejea uwanjani kwa nguvu mpya kutafuta kupanda Ligi Kuu
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biasha, Exaud Kigahe amebainisha mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Akijibu swali
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi , amewatembelea wananchi waliopatwa na maafa ya kuharibikiwa kwa nyumba na mali zao mara
Hanang. Baada ya uharibifu wa miundombinu ya maji Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliosababishwa na maporomoko ya udongo, Shirika la WaterAid Tanzania limekarabati chanzo cha
Wiki chache zilizopita bendera ya Tanzania ilipepea huko Nigeria kwa mchezaji wa Ligi Kuu Bara, Benjamin Tanimu kutoka Ihefu (Singida Black Stars) kuitwa na kucheza
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani ( FCT) katika kuongeza uzoefu, ufanisi katika
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari