Njombe. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imewaachia huru wanachama watatu wa Chadema akiwamo aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Njombe, George Sanga na wenzake wawili waliokuwa
Year: 2024
š30 Disemba, 2024 | IRINGA MJINI Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa, *Ndg. Mary Chatanda (MCC)* amekabidhi Gari jipya
KIPA wa Kagera Sugar ambaye amejumuishwa kwenye kikosi cha Kilimanjaro Stars kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, Ramadhan Chalamanda amesema ataitumia kama daraja
Songwe. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kujiepusha kujiandikisha mara mbili au kutoa taarifa za uongo wakati wa uboreshaji wa daftari la
Dar es Salaam. Wakati Wazanzibari wakikaribia kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi, historia inamkumbuka sultani wa mwisho wa visiwa hivyo, Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said
Na Mwandishi wetu- Kilimanjaro Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya
WAKATI KenGold ikiendelea kuimarisha kikosi, macho na masikio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini Mbeya ni kuona staa kutoka Ghana, Bernard Morison akitua
Dar es Salaam. Wakati ulimwengu ukiupokea mwaka mpya 2025, mataifa 10 ya Afrika, ikiwemo Tanzania, yanatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu kuchagua viongozi watakayoyaongoza kwa
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza kuwa baada ya michezo iliyofanyika Desemba 29, 2024 ligi hiyo itasimama hadi Machi mosi itakaporejea kwa mzunguko wa 17.
Dar es Salaam. Familia ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Frederick Werema imesema kifo chake kimeacha simanzi na pengo, likiwamo la ushauri.