Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 31, 2024 About the author
Year: 2024
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB,Bw. Stephen Adili,akimkabidhi funguo za gari pamoja na vifaa mbalimbali Bw.Khamis Majala mara baada ya kuibuka
Na Mwandishi wetu Dodoma Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewahimiza wananchi kutumia msimu wa sikukuu na likizo kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kujifunza,
WIKI mpya imeanza ndani ya Meridianbet kwani leo hii unaweza ukajipigia mkwanja wako wa maana ukiweka dau lako dogo tuu. Timu kibao zipo uwanjani leo.
SERIKALI imewahimiza wananchi kutumia msimu wa sikukuu na likizo kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kujifunza, kuburudika na kuchangia ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kimeendelea kutafsiri kwa vitendo sera zake za uimarishaji
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi amemtaja Mwanasheria Mkuu (AG) mstaafu, Jaji Frederick Werema kuwa mmoja wa viongozi
Unguja. Wakati Watanzania leo wakiuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na mshikamano. Amesema
Chunya. Waziri wa Madini, Athony Mavunde amesitisha shughuli ya uchimbaji madini ya dhahabu ndani ya Mto Zira uliopo katika Kijiji cha Ifumbo, Wilaya ya Chunya
Mbeya. Wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati mkoani Mbeya wameunda Umoja wa Jamii ya Masai (Memasa), wenye lengo la kupinga mila potofu na kuhamasisha