Songea. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamsaka dereva wa kampuni ya mabasi ya Superfeo, Zacharia Mbunda, kwa tuhuma za kusababisha ajali iliyotokea leo alfajiri
Year: 2024
Moshi. Wakati mamia ya wananchi wa kabila la Wachaga wakiendelea kukukutana kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka katika kijiji cha Umbwe Sinde, Kata ya Kibosho
Dar es Salaam. Mshtakiwa wa saba katika kesi ya wizi wa shehena ya mafuta ya petroli na dizeli yenye jumla ya lita milioni 9.9, Gaudence
Dar es Salaam. Kutokaa chini ya miti, kutembea peku katika maji na kusimama katika nguzo ndefu za chuma vimetajwa kuwa vitu visivyopaswa kufanywa na mtu
-Asema alikuwa alikuwa ni moja ya majaji wa mahakama ya rufani wenye uwezo mkubwa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Desemba 30, 2024 amemwakilisha Rais Dkt.
Dar es Salaam. Kati ya mavuno na anguko, ni neno lipi linaakisi matokeo ya malengo uliyojiwekea kuyatimiza kabla ya kukamilika mwaka 2024? Kwa matokeo hayo,
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umewakutanisha wazazi, walimu na wanafunzi kutoka vilabu vya jinsia kwaajili ya kushirikishana mafanikio kupitia
Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wa mataifa mbalimbali wamuelezea Rais wa 39 wa Marekani, Jimmy Carter, kuwa kiongozi mtetezi wa watu hasa waliopo mazingira
KOCHA Msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma amesema timu yao imetumika kwa asilimia 70 mzunguko wa kwanza hivyo bado wana mikakati imara mzunguko wa
Unguja. Wakati mchezo wa makachu ukifunguliwa kesho Desemba 31, 2024 Jumuiya ya Waratibu na Waendesha Misafara ya watalii Zanzibar (Zato), imewapa mafunzo maalumu vijana hao