Kamishna Jenerali Philippe Lazzarini alisisitiza kwamba hakuna sehemu na hakuna mtu katika Gaza ambaye amekuwa salama tangu vita vilipoanza Oktoba 2023. “Mwaka unapoanza, tulipata taarifa
Day: January 2, 2025
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 3,2024 About the author
Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini
Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiendesha bodaboda akiwa na msafara wa vijana wa hamasa wakielekea katika
Ripoti za vyombo vya habari zilionyesha kuwa raia wa kiume wa Marekani alikuwa ameendesha gari la mizigo kimakusudi kwenye umati wa watu waliokuwa wakisherehekea mwaka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa hiari.
Na Oscar Assenga,Tanga MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa tena kiasi cha shilingi bilioni 4.7
*Rais Dkt. Samia asema Jaji Werema alikuwa kiongozi mwenye weledi na msimamo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia
Wamarekani wwnye asili ya kiarabu wanazingatia urithi wa sera za zamani za Trump na uungaji wake mkono usiyosumba kwa Israeli na jinsi yote hayo yanaweza