RAIS WA ZANZIBAR AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 370 KIJIJI CHA BUMBWINI KIDAZINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Unjenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz na Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Related Posts