Je unajua kuwa Jumamosi ya leo unaweza kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet ambapo mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Unasubiri nini kuchukua chao mapema?
Ligi kuu ya Uingereza, EPL leo hii mapema kabisa Tottenham Hot Spurs baada ya kulazimishwa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya Newcastle United ambaye ameshinda mechi zake 4 mfululizo hadi sasa. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Eddie Howe na vijana wake kwa ODDS 1.92 kwa 3.50. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ya wewe kusuka ni hii ya AFC Bournemouth dhidi ya Everton ambao wanashika nafasi ya 16 wakiwa wameshinda mechi 3 pekee kati ya 18 walizocheza. Mwenyeji anahitaji ushindi nyumbani kwake huku tofauti ya pointi kati yao ni pointi 13 pekee. ODDS za mechi hii ni 1.70 kwa 5.20. Beti hapa.
Meridianbet leo hii inakupa nafasi ya kuibuka bingwa odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Nao Aston Villa baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii atakuwa pale Villa Park kusaka pointi 3 dhidi ya Leicester City ambao wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi wakiwa nafasi ya 19 na wamepoteza mechi yao iliyopita. Unai na vijana wake wanahitaji ushindi wa maana leo hii, Je kwa ODDS ya 1.35 kwa 8.60 nani kuibuka bingwa?. Suka jamvi hapa.
Huku kwa upande wa Chelsea yeye baada ya kukosa pointi 3 mechi zake tatu zilizopita, leo hii atakuwa mgeni wa Crystal Palace ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Je Enzo Maresca na The Blues watafanya nini?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.75 kwa 1.95. Jisajili hapa.
Katika dimba la Etihad Manchester City atakiwasha dhidi ya West Ham United huku mechi ya kukutana Pep Guardiola na vijana wake waliibuka na ushindi. West Ham wametoka kupokea kipigo kizito huku City akipata ushindi mechi iliyopita. Je City kuendeleza ushindi wa pili mfululizo leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.30 kwa 8.80.
Arsenal ambao wanashika nafasi ya pili watakuwa ugenini dhidi ya Brighton ambao walipata sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 12 huku Arteta wakitaka kushinda mtanange wa leo vilivyo. Mabingwa wa ubashiri Tanzania wanampa nafasi kubwa ya kushinda The Gunners kwa ODDS 1.84 kwa 4.80. Pesa yako unaiweka wapi hapa?. Tandika jamvi hapa.
SERIE A leo pia kitawaka sana Venezia atakipiga dhidi ya Empoli ambapo wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. HIvyo leo hii kila timu inahitaji ushindi wa maana huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 2.49 kwa 3.15. Bashiri hapa.
Nao Fiorentina baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, atakuwa na kibarua cha kushinda dhidi ya Napoli ambao wanataka ubingwa msimu huu na wapo nafasi ya pili hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana walitoka sare. Je leo hii nani kuondoka na ushindi wa alama tatu?. ODDS za mechi hii ni 3.00 kwa 2.60. Jisajili hapa.
Huku kwa upande wa Hellas Verona yeye atakichafua sana dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 9. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi 6. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya mechi ya mwisho kupoteza walipokutana. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi sasa.
Kule Ufaransa pia LIGUE 1 nayo itarindima Lille atamenyana dhidi ya Nantes ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake akiwa nafasi ya 15. Mechi ya mwisho walipokutana Lille alishinda zote. Je leo hii mgeni atalipa kisasi?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 1.57 kwa 6.00. Beti hapa.
Wakati yeye Lyon atakuwa kibaruani dhidi ya Montpellier ambao wanashikilia nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 huku ushindi wa loe utampeleka hadi nafasi ya 4. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.33 kwa 8.60. Bashiri hapa.