RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI YA KWANZA TUMBATU IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika tabasamu wakati akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri, wakati akielekea katika eneo la ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu, ufunguzi wa Skuli hiyo uliofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud.(Picha na Ikulu)
MIONEKANO wa Skuli ya Kwanza ya Ghorofa ya Sekondari Tumbatu iliyofunguliwa leo 4-1-2025 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Tumbatu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa ya Sekondari Tumbatu, iliyofunguliwa leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika bandari ya Tumbatu kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwanza ya Ghorofa Tumbatu, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ufunguzi huo uliofanyika leo 4-1-2025.(Picha na Ikulu)

Related Posts