Mechi za pesa leo hizi hapa

Ni Jumatatu nyingine ya kuondoka na mshindo ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yakiwa hapa. Suka jamvi lako la ushindi sasa.

EPL baada ya kuendelea hapo jana, pia leo hii kuna mtanange mmoja kati ya Wolves dhidi ya Nottingham Forest ambao wanahitaji ushindi hii leo wazidi kushikilia nafasi ya 3 waliyopo. Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili kwenye ligi, walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Mechi hii imepewa ODDS 3.40 kwa 2.30. Bashiri hapa.

Huku kule COPA DEL REY kutakuwa na mchezo mmoja kati ya Club Deportiva Minera dhidi ya Real Madrid katika hatua hii ya 32 bora. Mwenyeji anashiriki ligi daraja la kwanza kule Hispania huku vijana wa Carlo Ancelloti wao wanahitaji ushindi ili kupambania makombe yote msimu huu. Meridianbet wanampendelea Real kuondoka na pointi zote 3 kwa ODDS 1.11 kwa 16. Jisajili hapa.

Meridianbet leo hii inakupa nafasi ya kuibuka bingwa odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Italia leo hii kuna fainali kubwa kabisa ya SUPER CUP kati ya Inter vs AC Milan ambayo hii Derby Della Madonnina ambapo timu hizi kwenye msimamo wa ligi wanatofautiana pointi 13, ambapo vijana wa Inzaghi wapo nafasi ya 3 na vijana wa Sergio Paolo wakiwa nafasi ya 8. Mechi ya mwisho kuonana AC Milan alishinda. Je leo hii Inter atalipa kisasi?. 1.82 kwa 4.70 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Pale Uingereza, CHAMPIONSHIP pia itaendelea ambapo QPR atakuwa kibaruani kusaka pointi tatu dhidi ya Luton Town ambao wametoka kupasuka mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye ametoka kushinda mechi yao iliyopita, huku leo hii QPR akipewa ODDS za kushinda ambazo ni 2.55 kwa 2.90. Bashiri hapa.

Pia mechi za kirafiki zipo siku ya leo ambapo Fortuna Dusseldorf atamleta kwake Feyenoord kutoka kule Uholanzi. Mwenyeji anakipiga kule Bundesliga 2 na mpaka yupo nafasi ya 8 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 4. 1.70 kwa 3.75 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Nao Schalke 04 watakuwa ugenini kucheza dhidi ya FC Aarau ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa Mjerumani nafasi kubwa ya ushindi leo hii kwa ODDS 1.31 kwa 6.40. Je wewe beti yako unampa nani leo akupatia maokoto?. Bashiri sasa.

Wakati FC Salzburg wao watamenyana dhidi ya Bayern Munich ya kule Ujerumani ambao mpaka sasa wapo pale kileleni kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mwisho ya kirafiki wlaikutna msimu juzi ambapo hakuna ambaye alikuwa mshindi kati yao. Mechi hii imepewa ODDS 7.20 kwa 1.26. Jisajili hapa.

About The Author

Related Posts