WAZIRI JAFO AFUNGUA MAONESHO YA 11 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DIMANI ZANZIBAR

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Seleman Said Jafo(kushoto)akielekeza Jambo kwa Msaidizi  Mrajisi  wa Mali na Ubunifu Mustafa Abdulhamid wakati akitembelea Mabanda mbalimbali katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya 11 ya Biashara ya Kimataifa Dimani Magharibi B Unguja .Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Seleman Said Jafo(kushoto)akipatiwa maelezo na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa APRM Tanzania Badria Atai Masoud wakati akitembelea Banda lake  katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya 11 ya Biashara ya Kimataifa Dimani Magharibi B Unguja .Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Seleman Said Jafo(Katikati)akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakitembelea Mabanda ya Maonesho katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya 11 ya Biashara ya Kimataifa Dimani Magharibi B Unguja .Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Fatma Mabrouk Khamis akitowa Maelezo kuhusu Maonesho katika Ufunguzi wa Maonesho ya 11 ya Biashara ya Kimataifa Dimani Magharibi B Unguja .Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Seleman Said Jafo akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Maonesho ya 11 ya Biashara ya Kimataifa Dimani Magharibi B Unguja .Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR

Related Posts