Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Hoteli ya Kitalii katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection Bw. Andrea Azzola kuashiria ufunguzi wa Hoteli hiyo iliyopo kwenye Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea eneo la kuchuja maji ya kunywa kabla ya kufungua Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025.

Picha namba 06. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kupata taarifa ya mradi wa umeme wa Nishati ya jua unaozalishwa na kutumika katika Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo kwenye Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kisiwa cha Bawe kwa ajili ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


 Matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi mara baada ya kufungua Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo kwenye Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025.


Muonekano wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025

Related Posts