Je unajua kuwa leo ndio siku nzuri ya wewe kuouna ukiwa na Meridinabte kwenye simu yako?. Mechi mbalimbali kuchezwa leo huku nafasi ya wewe kuondoka bingwa ikiwa mikononi mwako.
Ligi kuu ya SAUDIA itaendelea leo hii ambapo AL Fateh atamenyana dhidi ya AL Wehda ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee huku wote wakiwa kwenye nafasi mbaya kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya mwisho na mgeni yupo nafasi ya 16. Mechi hii imepewa ODDS 2.23 kwa 2.90. Wewe unampa nani aondoke na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.
AL-Nassr Club watakuwa wenyeji wa AL-Akhdoud ambao wanashikilia nafasi ya 14 wakiwa wameshinda mechi 3 kati ya 13 walizocheza hadi sasa. Ronaldo na timu yake wanahitaji ushindi leo kwa hali na mali ili wasitoke kwenye mbio za kumaliza nafasi za juu. 1.28 kwa 8.80 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Wakati Al-Riyadh watakiwasha dhidi ya Al-Khaleej ambapo mara ya mwisho timu hizi kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi, hivyo leo hii mgeni anataka kulipa kisasi ugenini. Je ataweza?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.37 kwa 2.85. Jisajili hapa.
Unaweza kuibuka bingwa leo hii ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Mechi za FA CUP hatua ya 3 zitaendelea ambapo Sheffield United atamleta kwake Cardiff City ambapo wababe wa ubashiri Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.87 kwa 4.00. Wote wanashiriki ligi daraja la kwanza huku mgeni akiwa yupo nafasi ya pili kutoka mwisho. Je beti yako unampa nani leo?. Bashiri hapa.
Fulham anayekipiga ligi kuu ya Uingereza yeye atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Watford ambaye yupo ligi daraja la kwanza. Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa 2019 ambapo mwenyeji alipasuka, hivyo leo hii anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 1.30 kwa 9.00. Jisajili hapa.
Huku Everton wao watakuwa kibaruani dhidi ya Peterborough United ambao kwenye ligi yao wapo nafasi ya 19 wakishinda mechi 7 pekee kati ya 24 ambazo wamecheza hadi sasa, wakati The Toffees wao wapo nafasi ya 16 wakishinda mechi 3 kati ya 19 walizocheza. Beti mechi hii yenye ODDS 1.26 kwa 9.80.
Leo hii pale Hispania kutakuwa na mchezo mmoja wa SUPER CUP kati ya Real Madrid vs RCD Mallorca ambao kwenye ligi wapo nafasi ya 6 huku Real wao wakiwa nafasi ya 1, mechi ya mwisho kukutana walitoa sare huku leo hii Carlo Ancelloti na vijana wake ndio wanapewa nafasi ya kuibuka mabingwa kwa ODDS 1.35 kwa 8.40. Suka jamvi hapa.