Na Mwandishi wetu, Babati MAMLAKA ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) mkoa wa Manyara, imeitaka jamii ya eneo hilo kutunza vyanzo vya maji
Day: January 11, 2025
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wameshauriwa kujiepusha na maneno ya uongo (majungu) hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili
KUPITIA Meridianbet utapata nafasi ya kunyakua kitita cha shilingi milioni mojataslimu kwa kushiriki shindano la michuano ya Expanse Kasino na kufanya Januari yako kuisha kibabe.
📍 Kamati yaridhishwa na Kasi ya ukuaji wa Taasisi hiyo. Na Beatus Maganja, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori
-Mosi Aagiza Eneo la Feri kuwa Safi -Pili Mchakato wa kumpata Mwekezaji Mkubwa wa dampo uharakishwe -Tatu Barabara ya Feri kwenda Hyatt, Johari Rotana mpaka
Unguja. Rais Hussein Mwinyi amesema Zanzibar inapoadhimishwa miaka 61 ya Mapinduzi, inajivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana, ikiwamo kudumisha amani, umoja na mshikamano na kukuza uchumi. Mbali
Seoul. Uchunguzi umebaini kuwa vifaa vya kurekodi taarifa ya mwenendo wa ndege ya Shirika la Jeju nchini Korea Kusini, viliacha kufanya kazi dakika nne kabla
Moscow. Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia umefanikiwa kudungua ndege zisizo na rubani maarufu kama ‘droni’ 85 za Ukraine kati ya Ijumaa na Jumamosi
Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu Hospitali ya Shree Hindu Mandal ya Dar es Salaam, Dk Kaushik Ramaiya, ametunukiwa Tuzo ya Pravas Bharatiya Samman (PBSA)
Dar es Salaam. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, Chuo cha Usimamizi wa Fedha( IFM) Sadik Mbelwa(20) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu shtaka la