Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga imefufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya usiku huu kushinda
Day: January 12, 2025
SIMBA Ubaya Ubwela. Wekundu hao wa Msimbazi usiku wa jana kiliandika historia nyingine kwa kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF ikiwa ni mara ya
Dar es Salaam. Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye alidaiwa kutekwa leo nchini Kenya, amepatikana huku akiahidi kuzungumza zaidi kesho baada ya kutulia. Taarifa ya kutekwa kwa
Dar es Salaam. Baada ya minyukano ya nguvu za hoja kwa takriban wiki mbili, uchaguzi wa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeanza kuwapokea vijana wa awamu ya pili wa mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) ambapo wanatarajia kupokea vijana
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu John Mongella, amemtembelea kwa
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, jana aliongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika sherehe zilizofanyika Gombani,
Simanjiro. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala ametoa agizo kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za sekondari
Last updated Jan 12, 2025 Rais mteule wa Marekani, Donald Trump leo Jumapili Januari 12, 2025 amewakosoa vikali maafisa wanaosimamia juhudi
Dar es Salaam. Mwanaharakati, Maria Sarungi ambaye kwa sasa anaishi nchini Kenya ameripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana leo nchini humo. Taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wa