Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Kuanzia Sasa – Global Publishers

Meridianbet inakuambia hivi kuwa siku ya wewe kuondoka na kibunda ndio hii ya leo. Dortmund, Chelsea. Juventus wapo tayari kukupatia maokoto. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea ambapo Borussia Dortmund atakuwa ugenini dhidi ya Holstein Kiel ambao wapo nafasi ya pili kutoka mwisho. Wote wametoka kupigika mechi zao za mwisho hivyo pointi 3 ni muhimu kwa wote. Bashiri mechi hii yenye ODDS 5.40 kwa 1.55.

Kwa upande wa Bayer Leverkusen wao wataumana dhidi ya FSV Mainz ambapo wote wametoka kupata ushindi mechi zao zilizopita. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupigika mechi ya kwanza walipokutana msimu huu. Alonso na vijana wake bado wana matumaini ya ubingwa. Je wataweza kushinda leo? . Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Huku Eintracht Frankfurt baada ya kupata ushindi mwembamba, leo hii atakuwa mwenyeji wa SC Freiburg ambao walishinda. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. Je nani unamdhamini akupatie mkwanja leo?. 1.75 kwa 4.40. Jisajili hapa.

Ndani ya Meridianbet leo unaweza kuibuka bingwa kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

SERIE A kule Italia leo ni mechi mbili pekee ambapo Como 1907 baaa ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa AC Milan ambao nao walilazimishwa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee. Beti yako unaiweka wapi hapa?. 4.00 kwa 1.91 ndio ODDS za mechi hii.

Mtanange mzito ni huu wa Atalanta BC dhidi ya Juventus ambao mpaka sasa hawajapoteza mechi yoyote kwenye ligi lakini wakiwa na sare 12 hadi sasa. Wote wametoa kutoa sare mechi zao zilizopita. Mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoa sare. Je leo hii kwa ODDS 2.10 kwa 3.85 nani kuibuka bingwa?. Jisajili hapa.

Ligi kuu ya Uingereza, EPL leo hii kuna mechi za pesa Manchester City baada ya kushinda mechi zake mbili mfululizo, leo hii atakuwa mgeni wa Brentford ambao walishinda mechi yao iliyopita. Meridianbet wamempa Guardiola nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.67 kwa 4.70. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri hapa.

Chelsea baada ya kukosa ushindi mechi tatu mfululizo, leo hii atakuwa Stamford Bridge kusaka pointi tatu dhidi ya Bournemouth ambapo mechi ya mkondo wa kwanza The Blues walipata ushindi mwembamba. Nani kuondoka na pointi 3 leo?. ODDS za mechi hii ni 1.51 kwa 6.00. Jisajili hapa.

West Ham United dhidi ya Fulham kitaumana ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee huku mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi? 2.95 kwa 2.45 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Na mechi ya kutazamwa zaidi ni hii ya Nottingham Forest vs Liverpool yaani zinakutana timu ambazo zimepishana pointi 6 pekee huku Jogoo akikumbuka mechi ya mkondo wa kwanza alichapika akiwa nyumbani. Vijana wa Nuno Santo wanahitaji ushindi leo hii. Je watweza mbele ya Arne Slot aliyetoka kupata sare?. Beti mechi hii yenye ODDS 5.20 kwa 2.65.

 

 

 

 

Related Posts