Dar es Salaam. Askari wa usalama barabarani walioonekana wakichukua rushwa kutoka kwa madereva wa daladala, wamekamatwa na Jeshi la Polisi. Video iliyosambaa mitandaoni leo Januari
Day: January 15, 2025
Na WILLIUM PAUL, SAME. KUFUATIA taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi na sekondari katika kata za Kalemawe na Bendera, Mkuu
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi wamewasili Mkoani Kagera Januari 15, 2025 kwa lengo la Kusikiliza na kupokea Kero na
NA WILLIUM PAUL, MWANGA. MKUU wa wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Mwanahamisi Munkunda amewataka wawekezaji kwenda kuwekeza katika wilaya hiyo kwani tatizo la maji ambalo
Farida Mangube, Morogoro Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Daniel Benaya Mwiluli, mwenye umri wa miaka 39, mkazi wa Makambako, mkoa wa Njombe,
Na Mwandishi Maalum,Ruvuma WANANCHI wa kijiji cha Liweta Halmashauri ya wilaya Songea mkoani Ruvuma,wameishukuru Wakala wa barabara za vijijini na mijini(TARURA)kwa kuwajengea daraja la kudumu
Jumapili ya Januari 12, 2025 imedondokea siku ileile ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea Jumapili ya Januari 12, 1964. Tanzania imeadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu
Seoul. Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk-Yeol amekamatwa nyumbani kwake jijini Seoul nchini humo. Al Jazeera imeripoti leo kuwa Rais Yoon, ametiwa nguvuni leo Jumatano
Los Angeles. Idadi ya waliofariki kutokana na moto unaoendelea kuteketeza makazi ya watu na maeneo mbalimbali jijini Los Angeles Marekani imeongezeka na kufika watu 25.
Kuziba mtiririko wa fedha haramu ni miongoni mwa suluhu zilizotolewa na wataalam ili kupunguza kiwango cha umaskini barani Afrika. Credit: Ignatius Banda/IPS na Ignatius Banda