Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefunguka mbele ya wanahabari mara baada ya kuwasili na kueleza kuwa Yanga ni watu wa mahesabu, kwani walipiga mahesabu na kujua wapi watakusanya alama zitakazowapeleka hatua ya robo fainali.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.