Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la video ambayo inasambaa mtandaoni ikionesha Trafiki wakipokea rushwa.
Kamanda Muliro amesema kuwa Trafiki hao wamekamatwa na watachukuliwa hatua.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.