Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam wakati akitokea
Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya umeme ya (SGR) tarehe 22 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akipanda treni ya umeme (SGR) katika Stesheni ya Dodoma
wakati akielekea Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2025.