JUMAMOSI nyingine tena ya mwezi wa kwanza ambapo siku ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imeamua kuwafikia wakazi wa Magomeni Makuti na kutao
Day: January 25, 2025
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda Maalum ya Dar es Salaam imeshiriki katika maandamano ya kuanzishamisha wiki ya sheria Maandamani hayo yameanzia Mahakama Kuu,
MKUU wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda, ametoa rai kwa Wananchi kufika kwabwingi katika viwanja vya mnazi mmoja kwa ajili ya kujifunza kuhusu utendaji kazi
WAZIRI NDUMBARO AONGOZA JOPO LA WATAALAMU KUTOA ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA KATA YA KIBIRIZI, KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, KIGOMA WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza jopo la wataalamu wa msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Msaada wa
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Maendeleo
Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo, amesema Wilaya ya Ilala imejipanga kikamilifu kupokea ugeni mkubwa wa marais na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion na promota wa kwanza wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert, Bw. Alex Msama, amemtaka mwimbaji huyo
Kibaha. Ilikuwa siku tisa za mateso. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezewa kwa kilichotokea kwa familia ya Melkizedeck Mrema na mkewe Johana Bung’ombe ambao mtoto wao wa
Dar es Salaam. Barabara tisa jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi, Januari 25, 2024, amekagua miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) Awamu ya Tatu, ambayo inayoanzia katikati