Magomeni Makuti Yafurahia Ujio wa Meridianbet

JUMAMOSI nyingine tena ya mwezi wa kwanza ambapo siku ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imeamua kuwafikia wakazi wa Magomeni Makuti na kutao msaada wa vyakula.
Meridianbet, kwa kutambua changamoto zinazowakabili wakazi wa Magomeni Makuti, iliamua kuwatembelea wakazi wa eneo hilo na kutoa msaada wa vyakula kwa familia zinazokumbwa na hali ngumu ya maisha. Msaada huu unalenga kupunguza mzigo wa njaa kwa familia maskini, hasa wakati wa msimu wa kiangazi na changamoto za kiuchumi zinapozidi.
Kupitia msaada huu Meridianbet imetoa vyakula vya kimsingi kwa jamii ya Magomeni Makuti, ikiwemo mchele, unga, maharage, mafuta ya kupikia, na bidhaa nyingine muhimu za kimsingi. Msaada huu ni sehemu ya juhudi za kampuni kuonyesha uwajibikaji wake wa kijamii na kutoa mchango katika kuhakikisha kuwa jamii inapata msaada unaohitajika ili kuboresha hali za maisha zao.
“Kutoa msaada kwa jamii ni sehemu ya maadili yetu katika Meridianbet. Tunaamini katika kusaidia wale wanaohitaji zaidi, na tunajivunia kuwa sehemu ya jitihada hizi za kuleta mabadiliko kwa maisha ya familia za Magomeni Makuti,” alisema Mhariri wa Kampuni hiyo, Bi Nancy Ingram.
Kampuni hiyo inayojihusisha na michezo ya kubashiri, inaamini kwamba msaada wa vyakula utawezesha familia hizi kuendelea na shughuli zao za kila siku, huku wakiepuka athari za njaa na matatizo yanayotokana na ukosefu wa chakula. Kampuni pia inashirikiana na viongozi wa mitaa na mashirika ya kijamii ili kuhakikisha msaada unafika kwa familia zilizoathirika zaidi na zinazohitaji msaada wa haraka.
Ndugu mteja kumbuka kubashiri na Meridianbet Jumamosi ya leo na upige mkwanja. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Jisajili sasa.
Ukiachana na hilo Meridianbet inaendelea kuhamasisha umoja na mshikamano katika jamii ya Magomeni Makuti, ikitambua kuwa mafanikio ya kweli yanaweza kupatikana tu kwa kushirikiana na kusaidiana. Kampuni itaendelea kuunga mkono jamii hiyo kupitia miradi mbalimbali ya kijamii na kuhakikisha kuwa maisha ya wananchi yanaendelea kuboreka.

Related Posts