Wakati Benki ya Azania ikiweka historia ya kukusanya Sh63.3 bilioni ndani ya siku 32, asilimia 97 ya waliowekeza kwenye hati fungani hiyo ni wawekezaji mmoja mmoja.