Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Methew amemtaka Mkandarasi STC CO LTD anaejenga chanzo cha maji katika Mto nyangao -Chiuwe kukamilisha kazi ndani ya miezi
Month: January 2025
Meneja wa NSSF Mkoa wa Kinondoni, Bw. Large Materu ametoa wito kwa wajasiriamali kuendelea kujiunga na kujiwekea akiba katika Mfuko ili waweze kunufaika na mafao
Na Ashrack Miraji, Halmashauri ya Wilaya ya Same,Mkoani Kilimanjaro, imewajengea uwezo kuhusu Mtaala wa Elimu ulioboreshwa Wakuu wa shule na walimu wa taaluma 165
Na Muhidin Amri,Songea WAKALA wa barabara za vijijini na mijini Tanzania(TARURA)Mkoa wa Ruvuma,kwa mwaka wa fedha 2024/2025 umehidhinishiwa Sh.bilioni 38.394 kwa ajili ya kufanya matengenezo
Na Farida Mangube, Morogoro Jumla ya wasichana 10,239 waliokuwa wamekatisha masomo wamenufaika na Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP), unaotekelezwa na Serikali
DAKIKA 90 za Jumamosi ya Januari 18, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger, zimebeba hatma ya Wananchi msimu huu katika michuano
SIMBA juzi ilitinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Bravos ya Angola huku Yanga
TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1. Katika mchezo wa fainali
Akizungumza kutoka Zaporizhzhya kwenye mstari wa mbele mashariki mwa Ukraine, Tom Fletcher aliripoti kwamba mashambulizi ya anga yanaendelea “kuua na kusababisha uharibifu mkubwa wa raia”.
KIKOSI cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Bravos do