HABARI zinabainisha kwamba Dodoma Jiji imekamilisha usajili wa beki Mukrim Issa aliyekuwa akiitumikia Coastal Union tangu mwanzo wa msimu huu. Beki huyo alikuwa akiichezea Coastal
Month: January 2025
Dar es Salaam. Mkutano wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) ulisimama kwa dakika kadhaa leo, Jumatatu Januari 13, 2025, baada ya wajumbe kuhoji hatma
Babati. Shabani Rajabu (60), mkazi wa Kijiji cha Maweni, Kata ya Magara, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, anadaiwa kumuua mkewe, Zulfa Rajabu (40), kwa kumchinja
Moshi. Mafundi rangi na ujenzi mkoani Kilimanjaro wameamua kujitafuta ili kukabiliana na changamoto za kitaaluma, kimazingira, na kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia weledi unaohusiana na
Rukwa. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, umeanzisha utalii wa nyuki, lengo likiwa ni kutoa fursa kwa watalii kujifunza
Mbeya. Mikoa ya Mbeya na Songwe iko mbioni kunufaika na huduma za mawasiliano baada ya Serikali kuanza ujenzi wa mkongo wa Taifa katika Kata ya
Mifumo ya mahakama inakuwa wahusika wakuu katika hatua za hali ya hewa. Credit: UNDP Maoni na Kanni Wignaraja (umoja wa mataifa) Jumatatu, Januari 13, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan
Musoma. Washiriki wa kozi ndefu kutoka Chuo cha Taifa Cha Ulinzi (NDC) wamefika mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya siku tano ya mafunzo kwa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema chama