Siku ya Alhamisi, ni harakati 10 tu kati ya 21 zilizopangwa za kibinadamu ziliwezeshwa na mamlaka ya Israeli. Saba walinyimwa moja kwa moja, watatu walizuiliwa
Month: January 2025
Same. Mawasiliano barabara kuu ya Same -Mkomazi, wilayani Same yamerejea baada ya ujenzi wa Daraja la Mpirani kukamilika. Daraja hilo ambalo lipo Kata ya Maore,
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kutumia vyema
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kutumia vyema
Hayo ni kwa mujibu wa Najat Rochdi, Naibu Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, ambaye yuko Damascus kukutana na wajumbe kadhaa wa mamlaka
Kesi iliyokuwa inamkabili Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump imetolewa hukumu huku jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, akimuachilia huru bila masharti na
Mahakama ya ICC ilitoa waranti wa kukamatwa mwezi Novemba kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant kwa
“Tuliona ardhi ya ajabu, joto la juu ya bahari, joto la ajabu la bahari likiambatana na hali mbaya ya hewa inayoathiri nchi nyingi ulimwenguni, ikiharibu
“Kuruhusu matamshi ya chuki na maudhui hatari mtandaoni kuna madhara ya ulimwengu. Kudhibiti maudhui haya sio udhibiti,” Volker Türk aliandika kwenye X. Katika chapisho refu
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani katika