Dar es Salaam. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera kutokana kile ilichokisema imerusha mahojiano na kiongozi
Month: January 2025
Washington. Hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili Rais mteule wa Marekani, Donald Trump imesomwa leo na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuhukumiwa kwa makosa
Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 25 tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa kuipa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), siku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe.
Kilwa. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitangaza zaidi ya mifumo 300 kufanya kazi kwa kusomana, wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) wametaka mchakato wa
Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekutana katika kikao kilicholenga kufanya uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali
RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Chakula Afrika (Africa Food Prize Committee) na Mjumbe wa Bodi ya AGRA,
Dar es Salaam. Asasi za kiraia (Azaki) zimeitaka Serikali kuingiza mpango wa bima ya afya kwa wote kuwa sehemu ya matarajio katika Dira ya Taifa
Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao