Je unajua kuwa leo ndio siku nzuri ya wewe kuouna ukiwa na Meridinabte kwenye simu yako?. Mechi mbalimbali kuchezwa leo huku nafasi ya wewe kuondoka
Month: January 2025
Wamarekani wamemuaga aliyekuwa Rais wa Marekani, Jimmy Carter, aliyefariki dunia Desemba 29, 2024 na mazishi rasmi ya kitaifa yanatarajiwa kufanyika leo Alhamisi
📌Akerwa na kusuasua kwa utendaji wa Kituo hicho 📌Awataka watendaji kuondokana na kufanya kazi kwa mazoea 📌Ahoji sababu za kutelekezwa kwa maelekezo yake ya 2024
*DCEA yawaonya wafanyabiashara dawa za kulevya, yatoa ombi kwa wananchi Na Said Mwishehe,Michuzi TV MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema kuwa
Tanzania itaendelea kutoa ushirikiano kwa Ubalozi wa Marekani nchini na kuahidi kumpatia ushirikiano wa karibu Balozi ajaye katika utekelezaji wa majukumu yake awapo Tanzania pamoja
Maandamano Yazuka Kupinga Utupaji wa Taka Hatari ya Janga la Gesi ya Bhopal – Masuala ya Ulimwenguni
Maandamano yalizuka kuhusu utupaji wa taka hatari kutoka kwa mkasa wa gesi ya Bhopal. Credit: Sameer Khan/IPS na Shuriah Niazi (pithampur, india) Alhamisi, Januari 09,
KUNA wash’kaji hapa mtaani wamekuwa wakilalamika sana mara kwa mara pale timu ya taifa inapoitwa wakidai kunatakiwa kuwe na usawa kwa wachezaji kutoka klabu zote.
Paris Hilton ni miongoni mwa mastaa ambao wamekumbwa na athari za moja kwa moja kufuatia moto mkubwa unaoendelea kuwaka Los Angeles nchini
Dar es Salaam. Vita ya kukabiliana na dawa za kulevya zinazoathiri nguvu kazi ya Taifa hasa vijana, imeendelea kushika kasi na sasa Mamlaka ya Kudhibiti
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi