KIKOSI cha Simba kimeondoka alfajiri ya leo kwenda Angola kuwahi pambano la raundi ya tano la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos do Maquis,
Month: January 2025
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama aliyekuwa nje akiuguza majeraha, amerudi na alfajiri ya leo ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara wa timu hiyo
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe.Yasushi Misawa, baada ya kumaliza mazungumzo
NA DENIS MLOWE IRINGA JUMLA ya timu 120 zinatarajiwa kushiriki mashindano ya soka yanayojulikana kwa jina la Vunjabei Cup 2025 yatakayozinduliwa rasmi Januari 11 mwaka
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa wito kwa Kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria “The Super
Moshi. Ujenzi wa Daraja la Mpirani lililovunjika na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara katika Barabara Kuu ya Same-Mkomazi, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro umefikia
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa amekisaliti chama hicho na
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimesema Serikali inapaswa kuanzisha mifumo rahisi ya mikopo kwa wananchi ili kuwarahisishia kuepuka mikopo isiyo rasmi maarufu kama