YANGA ikitinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, itaua ndege wawili kwa jiwe moja. Jambo hilo linasubiriwa kwa hamu kubwa
Month: January 2025
Pesa zinazotumwa hutoa kitu ambacho uhisani hauwezi: uhuru. Familia zinazopokea pesa huamua jinsi bora ya kutenga fedha hizo, kulingana na mahitaji yao muhimu zaidi. Mkopo:
Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria kuzuka mwaka wa 2011, Bi Al Zamel na familia yake walihamia Misri. Alikaa huko na familia
Dar es Salaam. Kampuni 20 za uwekezaji kutoka nchini Japan zimekuja Tanzania kuangalia fursa za uwekezaji katika maeneo ya kilimo, utalii na sekta ya uzalishaji
Mbeya. Halmashauri ya Jiji la Mbeya limeanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikijumuisha ujenzi wa soko la kisasa la Matola, kituo kipya cha mabasi ya
Dodoma. Nchi 25 zinazolima kahawa barani Afrika zinakutana nchini Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Tatu wa mwaka wa nchi zinazolima kahawa (IACO), kwa lengo la
Njombe. Kamati ya Shule ya Msingi NjooMlole iliyopo Halmashauri ya Mji wa Njombe imewataka wazazi kutimiza wajibu wao wa malezi kwa kuhakikisha wanawanunulia watoto wao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu
Unguja. Madereva wa magari ya utalii Kijiji cha Kendwa, Mkoa wa Kaskazini Unguja wameiomba Serikali kuwapatia eneo la maegesho ya magari ili kuondokana na usumbufu
Dar/Tanga. Ni siku zisizozidi 20 zikichukua maisha ya watu 30 kutokana na ajali za barabarani zilizotokea kati ya Desemba 24, 2024 na Januari 13, 2025,