Akizungumza mjini Geneva, OHCHR msemaji Liz Throssell alisema kuwa Ofisi inafahamu kuhusu ripoti na video zinazodaiwa kuonyesha mauaji ya wanaume wa Alawite huko Homs na
Month: January 2025
Ilitangazwa katika Grand Serail huko Beirut na Naibu Waziri Mkuu Saade el-Shami na UN Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu Imran Riza, rufaa hiyo inapanua juhudi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka watu wote waliouziwa vyombo vya moto kufika katika mamlaka hiyo kabla ya Januari 20 mwaka huu
Dar es Salaam. Katika jitihada ya kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo rushwa ya ngono kwa wanawake wajasiriamali, taasisi inayoshughulika na uwezeshaji wa wasichana
Same. Wakazi 5,600 wa vitongoji vya Kavambughu na Mahuu wilayani Same, Kilimanjaro wameanza kupata huduma ya majisafi na salama baada ya Mamlaka ya Maji Same
Dar es Salaam. Baraza la Veterinari Tanzania (TVA) limewafutia usajili madaktari wa wanyama 120 kwa kushindwa kutimizwa matakwa ya sheria ya baraza hilo. Uamuzi wa
Iringa. Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo umeieleza Mahakama ya Wilaya ya Iringa
Sichuan. Tetemeko la ardhi lililolikumba Jimbo la Dingri katika Mkoa wa Tibet nchini China limesababisha vifo vya watu 125 huku 188 wakijeruhiwa. Televisheni ya Taifa
Same. Wakazi wa Kitongoji cha Igoma, Kata ya Maore, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kujenga shule yao ili kuwalinda watoto wao wanaotembea umbali mrefu
Moshi. Wananchi wa Kata ya Uru Shimbwe, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kusitishwa kwa ujenzi wa mnara wa mawasiliano uliokuwa unajengwa, hali inayowafanya kuendelea