WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2025 ikishirikisha timu za taifa kwa mara ya kwanza, kikosi cha Kilimanjaro Stars kimejikuta kikiweka rekodi mbovu.
Month: January 2025
Dar es Salaam. Ingawa majibizano baina ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, yanatafsiriwa kuwa hulka
Arusha. Serikali imefanikiwa kutambua na kuhakiki taarifa za anwani za makazi milioni 12.8 na kuzisajili kwenye mfumo wa kidigitali wa anwani za makazi (NaPA). Taarifa
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru mshtakiwa Madina Bille, aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la kuingia kwa jinai katika nyumba ya Zulekha Abdulwahid,
Mbeya/Mpanda. Wakati baadhi ya wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wakionyesha hofu, wakisita kupeleka watoto shule kutokana na mlipuko wa kipindupindu, viongozi na
Rukwa. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amesema mkoa huo umeandaa mazingira rafiki na bora ili kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta ya madini. Kauli
Dar es Salaam. Wadau wa elimu wameitaka Serikali kuongeza ajira za walimu wa masomo ya amali ili kufikia lengo la kubadilisha mtalaa. Ongezeko la walimu
Morogoro. Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imepanga kujenga kituo cha pamoja cha wafanyabiashara wa vyakula na mbogamboga, ambao kwa sasa wanaendesha shughuli zao kando mwa
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar WATU wanaosadikika ni askari jamii wamedaiwa kumpiga Mwanamke na kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumza na mwandishi wa habari
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akisalimiana na Naibu Waziri wa Maji Kundo Mathew Ofisini kwake. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Dawasa Mhandisi