Gaza. Kundi la Hamas limevujisha kipande cha video kinachomwonyesha mwanajeshi wa Israel wanayemshikilia mateka katika eneo la Gaza tangu lilipotekeleza shambulizi la kushtukiza nchini Israel
Month: January 2025
Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia taarifa za madai ya kutekwa kwa Dastan Mutajura na watu wasiojulikana jana Jumamosi Januari
Na Humphrey Shao, Michuzi tv Kituo kipya cha Afya cha The Cure Specialized Polyclinic kimeziduliwa rasmi leo na papo hapo kusema, kimeajiandaa kuweka kambi maalum
WAKATI mabosi wa Fountain Gate wakiendelea kusaka kocha mpya baada ya kumtimua Mohamed Muya, pia wako katika hesabu za kumpata aliyekuwa kiungo wa Mbeya City,
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amesema uimarishaji wa miundombinu ya shule ni ishara kuwa, Serikali inalenga kutanua fursa ya elimu
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita ya DR Congo aliyewahi kumfundisha, winga mpya wa Simba, Elie Mpanzu amefichua kama Wekundu wa Msimbazi wanataka
Unguja. Wakati ACT- Wazalendo ikidai kuwa, Kisiwa cha Fungu Mbaraka kipo katika mchakato wa kutolewa leseni kwenye vitalu vipya vitano na Serikali ya Tanzania Bara
Bao la dakika ya 90 lilifungwa na Aboubacar Troure wa Bukina Faso lilizima matumaini ya Harambee ya Kenya kushinda mchezo wa kwanza wa Kombe la
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Kiwango cha kwanza cha sehemu yake ya pili ya Hati Fungani ya NBC Twiga, yenye thamani ya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati jadidifu Dkt. Khatibu M. Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa uchumi, uhai, na maendeleo