Kuanzia Januari 1, 2025, Hungary iliikabidhi Poland kijiti cha urais wa kupokezana wa Umoja wa Ulaya, na hivyo kuhitimisha miezi sita ya msukosuko ndani ya
Month: January 2025
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema mshambuliaji mpya wa kikosi hicho raia wa Mali, Amara Bagayoko atakuwa na msimu bora ndani ya timu hiyo
Simba imetazama historia ya mechi zake 10 zilizopita za kimataifa ilizocheza ugenini na kugundua ina kazi kubwa ya kufanya katika mechi ya kesho jijini Tunis,
Kiev. Takriban watu watano wamefariki dunia katika majibizano ya makombora kati ya vikosi vya Russia na Ukraine, Ijumaa Januari 3, 2025. Miongoni mwa mashambulizi yaliyosababisha
MKUU wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Sebastian Waryuba, amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Khamis Katimba kwa kukusanya asilimia 82 ya mapato
“Hatua hizi za serikali ya Kyiv, ambayo inaungwa mkono na washirika wa Magharibi, itakabiliwa na kisasi,” ilisema taarifa ya wizara ya ulinzi ya Urusi ikiishutumu
Las Vegas. Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Abiria wametakiwa kuwajibika kwa kuhakikisha wanakata tiketi zao kwa kutumia mfumo wa kielektroniki ili kupunguza changamoto ambazo wamekuwa wakikumbana nazo hasa
Unguja. Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika utekelezaji wa afua mbalimbali, umehitimisha kaya za walengwa 400,000 nchi nzima, kati ya hizo 22,400 zinatoka Zanzibar.
Unguja. Wakati Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) katika kipindi cha nusu ya kwanza cha Julai hadi Desemba 2024 ikikusanya Sh429.033 bilioni sawa na ufanisi wa