KAMA wewe ni mpenzi na shabiki wa Simba, basi tegemea kuona maajabu zaidi kutoka kwa kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua hasa kwa mechi za kimataifa,
Month: January 2025
Kuanzia Januari 1, 2025, Hungary iliikabidhi Poland kijiti cha urais wa kupokezana wa Umoja wa Ulaya, na hivyo kuhitimisha miezi sita ya msukosuko ndani ya
WIKIENDI ya kibabe. Unaweza kusema ni Super Weekend kutokana na leo na kesho kuanzia hapa nyumbani hadi kule Ulaya kuna mechi za kibabe. Kwa leo,
Dar es Salaam. Stendi ya Kijichi iliyojengwa kwa ajili ya mabasi yaendayo mikoa ya Kusini sasa inatarajiwa kubadilishwa matumizi, baada ya malengo ya ujenzi kutotekelezeka.
MUDA mchache baada ya JS Kabylie kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA la Algeria, kocha wa timu hiyo aliyewahi kuinoa Simba, Abdelhak
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili, takwimu zikionyesha
WAKATI mashabiki wakianza kujiuliza mtaani na mtandaoni itakuwaje mara beki wa kulia ya Yanga, Yao Kouassi atakaporejea kutoka kwenye majeruhi kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne ambayo yatawawezesha wanafunzi kujiunga na kidato cha tatu na
Dar es Salaam. Mwaka 2024 Tanzania ilikubwa na jinamizi la ajali za barabarani, Desemba ukiwa kinara. Ni kutokana na ajali hizo, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri
BAO pekee lililowekwa kimiani na nahodha, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limeiwezesha timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kuanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi