Maelfu ya watu wameikimbia Msumbiji na kuelekea nchi jirani ya Malawi, wakitafuta hifadhi kutokana na machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu. Hii ni kufuatia hatua
Month: January 2025
California. Watu wawili wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa baada ya ndege ndogo aina ya Van’s RV-10 kugonga ghorofa la kitega uchumi jijini California nchini
Mpanda. Christina Kalilo (8), mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Uruwila, wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi, anadaiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman kuhusu ufisadi na ongezeko la deni la
Mkoa wa Morogoro watajwa kuwa Kanda Maalum ya ufugaji wenye tija kwa kuwa na ng’ombe wa kisasa na mashamba ya malisho kwa ajili ya mifugo.
Tukio hilo ni la karibuni katika mgogoro wa kisiasa ambao umezikumba siasa za Korea Kusini na kushuhudia wakuu wawili wa nchi wakiondolewa madarakani katika kipindi
Kyiv. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema wanajeshi wanakimbia eneo la mapigano dhidi ya vikosi vya Russia hususan kipindi cha mwaka 2024 ambapo taifa hilo
Na WAF – Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi
Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wafanyabiashara wawili kwa tuhuma za kupatikana na miundombinu ya umeme na maji kinyume cha sheria. Akizungumza na
Wakazi wa Shehia ya Kinyikani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, Visiwani Zanzibar wameondokana na adha ya ukosefu wa huduma za afya baada ya