Njombe. Mawakala na viongozi wa vyama vya siasa wametakiwa kuzingatia sheria kwa kutoingilia mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwenye vituo. Kwa
Month: January 2025
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua gari limewaka, amerudi kwenye ubora wake akifunga na kufanya balaa, huku akifunguka kuwa kwa namna walivyo fiti habari ya mtu
Morogoro. Siku 14 zimepita tangu ilipotokea ajali ya gari aina ya Coaster iliyogongana na lori, huku mwili mmoja kati ya 15 ya waliofariki bado haukutambuliwa
KAMA unafikiri ujio wa Israel Mwenda ndani ya Yanga umemshtua beki Kibwana Shomari, basi unajidanganya kwani mwenyewe ameweka wazi kuwa kuongezewa changamoto ya ushindani kunamkomaza
Ofisi ya uratibu wa misaada ya Umoja wa Mataifa, OCHA, taarifa kwamba operesheni ya kuvuka mpaka kutoka Türkiye hadi kaskazini-magharibi inaendelea bila vikwazo. Siku ya
Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, aliweka vipaumbele vya muungano huo kwa mwaka 2025 katika hotuba ya kutisha akionyesha jinsi vita vilivyo karibu sana na
Pamoja na makundi ya wapiganaji wa Kipalestina, Hamas na Hezbollah ya Lebanon, kudhoofika baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa vita, na kuanguka kwa Bashar
Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025
NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata
The Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto ulisifiwa kuwa mkataba wa kihistoria ulipopitishwa na viongozi wa dunia mwaka wa 1989, na umechochea