MERIDIANBET IMEKUJA NA OFA YA KIBABE

KAMPUNI ya Meridianbet wamekuja na ofa ya kibabe kwa wateja wao ambao wamejisajili kwenyetovuti yao, Ambapo watapata nafasi ya kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 hii ni kwa mara ya kwanza bonasi ya namna hii inawekwa.
Meridianbet wamekua wakitoa ofa za kutosha kwa wateja wao ambao ni wapya mara kwa mara, Awamu hii wameamua kuweka kiwango kizuri cha pesa ambacho mteja ambaye atajiunga na tovuti yao kwajili ya kubashiri atakivuna kiwango hicho kwajili ya kuanzia ubashiri wake.
Bonasi hii itahusisha wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hicho kabambe kabisa kwajili ya kufanyia ubashiri wako kwenye ligi mbalimbali ambazo zitakuepo siku husika.
Kitu cha kwanza kabisa ambacho unatakiwa kukifanya ili kupata bonasi hii ni kuhakikisha unapakua App ya Meridianbet ambayo inapatikana App store kwa IOS, Playstore kwa upande wa Android, pamoja na Huawei utakua umejihakikishia nafasi ya kushinda bonasi hii kutoka nyumba ya mabingwa.
Bila kusahau mteja anapaswa kuzingatia vigezo vyote na masharti ambayo yamewekwa katika shindano hili na yameidhinishwa wazi kwenye tovuti ya Meridianbet, Ikiwemo kua mteja uliyesajiliwa kwenye tovuti hiyo, Lakini pia kuweka dau la kwanza la kubashiri lisilopungua kiasi cha shilingi 100 katika ubashiri wako.
Changamkia fursa leo ukijisajili na tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet uweze kushiriki shindano hili ambalo linaendelea, Ambapo kwa mteja yeyote ambaye atajisajili anaweza kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 na kuwekea kwenye akaunti yake.
Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

Related Posts