Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) umeingia makubaliano na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) ili kuusaidia wakala huo kuwapata watoa huduma
Day: February 5, 2025
Dodoma. Leo Jumatano, Februari 5, 2025 chama tawala nchini Tanzania – Chama cha Mapinduzi (CCM) kinasherekea miaka 48 ya kuzaliwa kwake na tayari mamia ya
Dar es Salaam. Watumiaji wa vyombo vya moto watatakiwa kuongeza bajeti za ununuzi wa mafuta kwa ajili ya vyombo vyao baada ya bei kikomo za
Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa, takriban watu 67 wameuawa Jumapili katika shambulizi la mizinga lililofanywa na Vikosi vya RSF huko
Bao la dakika za jioni la Jentrix Shikangwa dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye Uwanja wa KMC Complex jana lilitosha kuipa Simba Queens ushindi wa bao
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amevutiwa na viwango vya wachezaji wake wapya, Landry Zouzou na Zidane Sereri waliosajiliwa dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari
MISIMU miwili iliyopita, mashabiki wa Yanga walidhani ni ndoto kuuzwa kwa mshambuliaji Fiston Mayele. Lakini Pyramids wakaweka mzigo mezani mwamba akasepa kiroho safi. Na sasa
Dar es Salaam. Licha ya Sheria ya Barabara kuzuia shughuli zozote za biashara, ikiwemo zinazohusisha moto, kufanyika kwenye hifadhi za barabara, utekelezaji wa katazo hilo
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji
Leo, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefikisha miaka 48 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, kikiwa miongozi mwa vyama vichache vya ukombozi vilivyopo madarakani barani Afrika, huku